Unknown author (n.d.). Wahusika na motifu ya siri katika kazi za nathari za fasihi ya kiswahilibeatrice njeru, john kobia, allan mugambiyear: 2022view publication →.
Ms. BEATRICE NJERU NYAMBURA
Mhadhiri wa Kiswahili aliyebombea katika masuala ya Isimu na Fasihi ya Kiswahili. Beatrice amekuwa mhadhiri wa muda katika Chuo Kikuu cha Tharaka kuanzia 2023-2025. Kwa sasa ni mhadhiri kamilifu katika chuo hicho hicho. Aidha, ni mwandishi na mhariri wa makala ya Kiswahili. Ndiye mlezi wa Chama cha Waandishi Chuoni Tharaka (CHAWACHUTHA)
Research Interests/Focus
- A researcher in Kiswahili Literature
PhD in Kiswahili-Tharaka University Masters of Arts in Kiswahili- Chuka University Bachelor of Education Arts-Masinde Muliro University of science and technology